Wednesday, July 10, 2013

Mseto wa Tigo Tanzania na Huawei Technologies.


Zifahamu sifa 5 zitakazo kushawishi ununue simu mpya ya Huawei inayouzwa na TIGO Tanzania katika maduka yake ya Mlimani city, Quality Centre, Masaki, Palm, JM Mall, Dodoma, & Nkurumah Tigo shops.
1. Ni simu mpya kabisa toleo la mwaka 2013 mwezi march.
2. Inatumia Adroid version 4.1(jelly bean) sawa na Samsung galaxy s3.
3. Ni moja ya zimu yenye uwezo mkubwa na kuuzwa kwa bei rahisi duniani kote. hii ni kutokana na maoni mengi ya watumiaji. hii imekaririwa na mtandao mkubwa duniani wa simu za mkononi(gsmarena).
4. Betri inara inayoweza kukaa stand by kwa masaa 320.
5. Kamera yenye uwezo mkubwa wa 5MP,auto focus, na LED flash

2 comments:

Anonymous said...

nice combination

walter said...

nahitaji kufahamu bei za window phones 8 za nokia lumias,htc na huawei kwa apa tanzania